Kibarngarla

Kibarngarla (pia Kiparnkalla au Kibanggarla) ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabarngarla katika jimbo la South Australia. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibarngarla ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibarngarla kiko katika kundi la Kiyura.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search