Kijola-Fonyi

Kijola-Fonyi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal, Gambia na Guinea-Bisau inayozungumzwa na Wajola. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kijola-Fonyi nchini Senegal imehesabiwa kuwa watu 340,000. Pia kuna wasemaji 67,000 nchini Gambia na 6490 nchini Guinea-Bisau. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijola-Fonyi iko katika kundi la Kiatlantiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search