Kikanuri-Bilma

Kikanuri-Bilma ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Niger inayozungumzwa na Wakanuri. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kibilma imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibilma iko katika kundi la Kisahara.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search