Kimakian-Mashariki

Kimakian-Mashariki (pia Kitaba) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamakian kwenye visiwa vya Halmahera, Makian, Mori, Kayoa, Bacan na Obi. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kimakian-Mashariki imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimakian-Mashariki iko katika kundi la Kihalmahera-Kusini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search