Kimasalit

Kimasalit ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Sudan inayozungumzwa na Wamasalit. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimasalit nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 60,900. Wengi wao lakini wamekimbia vita nchini Sudan, na idadi ya wasemaji wa Kimasalit nchini Sudan haijulikani kwa uhakika. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimasalit iko katika kundi la Kinilotiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search