Kiphake

Kiphake ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uhindi inayozungumzwa na Waphake. Mwaka wa 2007, idadi ya wasemaji wa Kiphake imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiphake iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search