Kirabha

Kirabha ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Warabha. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kirabha imehesabiwa kuwa watu 165,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kirabha iko katika kundi la Kisal.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search