Kiyanyuwa

Kiyanyuwa ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wayanyuwa katika majimbo ya Northern Territory na Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiyanyuwa ilihesabiwa kuwa watu 120. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyanyuwa kiko katika kundi lake lenyewe la Kiyanyuwa.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search