PAYE

PAYE (kifupi cha: Pay As You Earn) katika Uingereza, Ireland, Tanzania na baadhi ya nchi nyingine ni kiasi kinachokusanywa na waajiri kwa niaba ya serikali kutoka kwa wafanyakazi kama malipo (lipa) ya kodi ya mapato ya mfanyakazi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search