8 results found for: “Buk ”.

Request time (Page generated in 0.2077 seconds.)

Buk Bak

Buk Bak Ni kundi la muziki la Ghana lililoundwa na Prince Bright, Isaac Shoetan na Ronny Coaches , Walirap katika Ga, Twi, na Pidgin, na walikuwa kundi...

Last Update: 2023-11-25T09:56:09Z Word Count : 180

View Rich Text Page View Plain Text Page

Ronny Coaches

mwanamuziki mzaliwa wa Ghana na mwanachama wa kikundi cha muziki cha hiplife cha Buk Bak. Alipata elimu yake ya sekondari katika shule ya Datus Complex. Pia alikuwa...

Last Update: 2022-05-04T07:28:47Z Word Count : 92

View Rich Text Page View Plain Text Page

Prince Bright

anajulikana kama Bling Sparkles. Ni mwanachama pekee wa kundi la muziki la Buk Bak. Prince alisoma elimu yake ya msingi katika shule ya Kings huko Kokomelle...

Last Update: 2023-02-26T11:23:29Z Word Count : 238

View Rich Text Page View Plain Text Page

Okjeo

Korea Kaskazini, na Buk-okjeo (Okjeo Kaskazini) ikachukua kanda ya Mto Duman. Dong-okjeo ilikuwa ikiitwa kwa kifupi kama Okjeo, wakati Buk-okjeo nayo pia ilikuwa...

Last Update: 2021-07-10T14:10:02Z Word Count : 351

View Rich Text Page View Plain Text Page

Orodha ya wanamuziki wa Ghana

Wendy Shay Dobble Amerado Ayesem Ayigbe Edem Ball J Bice Osei Kuffour Dobble Buk Bak C-Real Castro Corp Sayvee D-Black Dead Peepol Efya EL Eno Barony Gasmilla...

Last Update: 2022-07-26T08:07:00Z Word Count : 148

View Rich Text Page View Plain Text Page

Jay Q

Ametayarisha albamu na kusimamia kazi za wanamuziki wengi, ikiwa ni pamoja na Buk Bak, VIP, Castro, Mzbel, Obrafour, Daddy Lumba, Nana Acheampong, Ofori Amponsah...

Last Update: 2022-07-24T00:25:09Z Word Count : 972

View Rich Text Page View Plain Text Page

Chuo Kikuu cha Bayero Kano

Chuo Kikuu cha Bayero Kano (BUK) ni chuo kikuu kilichopo Kano, Jimbo la Kano, Nigeria. Kilianzishwa mwaka 1975, wakati kilipobadilishwa jina kutoka Chuo...

Last Update: 2024-07-25T20:18:32Z Word Count : 283

View Rich Text Page View Plain Text Page

Ghulam Ali (mwimbaji)

Shah Zafar) Dareeche Be-sada Koi Nahin Hai (mshairi: Sabir Zafar) Dil Buk Buk Ahro Dil Jala Ke Mera Muskuraate Hain Woh Dil dhadakne ka sabab yaad aaya...

Last Update: 2023-03-07T05:08:33Z Word Count : 1924

View Rich Text Page View Plain Text Page

Main result

Buk Bak

Buk Bak Ni kundi la muziki la Ghana lililoundwa na Prince Bright, Isaac Shoetan na Ronny Coaches , Walirap katika Ga, Twi, na Pidgin, na walikuwa kundi la kwanza la wanahiplife nchini Ghana kufaulu kwa maneno ya Ga . Kufikia mnamo mwaka 2006, wote wawili walikuwa wakifanya miradi binafsi. Bright na Ronny waliungana tena mnamo mwaka wa 2012 kurekodi albamu yao ya mwisho kama kikundi, Fisherman Anthem . Kikundi cha awali kilikuwa na wanachama zaidi, ambao baadhi yao wameunda vikundi kama 4x4 . Kikundi kiligawanyika mnamo Novemba mwaka 2013, baada ya kifo cha Ronny Coaches .


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search