10 results found for: “China_Covid-19”.

Request time (Page generated in 0.3915 seconds.)

Mlipuko wa virusi vya corona 2019-20

Characteristics of an Outbreak of 2019 Novel Coronavirus Diseases (COVID-19) — China, 2020". China CDC Weekly (kwa Kiingereza). 2 (8): 113–122. doi:10.46234/ccdcw2020...

Last Update: 2024-06-19T16:36:55Z Word Count : 22387

View Rich Text Page View Plain Text Page

Janga la Covid-19 Jiji la New York

Janga la Covid-19 Jiji la New York: kesi ya kwanza inayohusiana na janga la COVID-19 ilithibitishwa huko Jiji la New York mwezi wa Machi mwaka 2020 kutoka...

Last Update: 2022-02-20T14:09:15Z Word Count : 350

View Rich Text Page View Plain Text Page

Utambuzi

na en:PCR ni ya umaalumu mdogo katika kutambua utambuzi COVID-19. Utafiti mkubwa katika China ikilinganishwa na matokeo ya kifua CT kwa pcr na alionyesha...

Last Update: 2022-05-17T22:34:39Z Word Count : 778

View Rich Text Page View Plain Text Page

Virusi vya Corona

17, wengi wao nchini China. SARS haijatokea tena tangu mwaka 2004. Kwa habari za undani zaidi kuhusu uenaji wa ugonjwa wa Covid-19 tazama hapa (Kiingereza)...

Last Update: 2022-12-14T16:49:05Z Word Count : 2007

View Rich Text Page View Plain Text Page

Athari ya pandemia ya Korona 2019-20 kwa mazingira

COVID-19 nchini China. Kasi ya uchumi chini ya virusi imeshuka pamoja na viwango vya uchafuzi kwa kiasi kikubwa, hasa katika miji kama Wuhan, China kwa...

Last Update: 2021-09-04T13:51:58Z Word Count : 1123

View Rich Text Page View Plain Text Page

Uhaba unaohusiana na janga la COVID-19

matibabu, utengenezaji na bidhaa za watumiaji zinazosababishwa na janga la COVID-19 haraka likawa suala kubwa ulimwenguni, kama vile usumbufu kwa mnyororo...

Last Update: 2021-08-12T15:00:23Z Word Count : 7598

View Rich Text Page View Plain Text Page

Alchemy of Souls

auto-translated (link) ""Soul Marriage" Cancels Shooting, Staff Confirmed With COVID-19". HanCinema. The Fact. Oktoba 7, 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka...

Last Update: 2023-04-14T18:41:45Z Word Count : 985

View Rich Text Page View Plain Text Page

ECMO

hutumiwa kusaidia wagonjwa walio na homa ya mapafu ya virusi inayohusiana na COVID-19 katika hali ambapo uingizaji hewa bandia hautoshi kudumisha viwango vya...

Last Update: 2021-08-12T15:21:57Z Word Count : 2546

View Rich Text Page View Plain Text Page

Utalii nchini Tunisia

2010 kwa asilimia 6, na rekodi ya wageni milioni 8.3. Matokeo ya janga la COVID-19 kwenye sekta ya utalii ya Tunisia yameelezwa kuwa janga. Mwaka 2020, mapato...

Last Update: 2022-09-30T17:19:59Z Word Count : 893

View Rich Text Page View Plain Text Page

Now United

lakini wakati nchi nyingi ulimwenguni zilitengwa kwa sababu ya janga la COVID-19, ziara hiyo iliahirishwa na kusababisha washiriki wa kikundi kurudi katika...

Last Update: 2024-03-23T14:12:32Z Word Count : 4372

View Rich Text Page View Plain Text Page

Main result

Mlipuko wa virusi vya corona 2019-20

Mlipuko wa Virusi vya Korona (kwa Kiingereza: Coronavirus) ulibainika rasmi tarehe za katikati za mwezi Desemba mwaka 2019 katika mji wa Wuhan huko China ya kati. Kulikuwa na kikundi cha watu wenye nimonia bila chanzo kinachoeleweka. Ulibainika baadaye kama aina mpya ya virusi vya korona. Tarehe 20 Januari 2020, Waziri Mkuu wa Uchina Li Keqiang, alitoa wito wa kutia juhudi katika kukomesha na kudhibiti janga la nimonia lililosababishwa na virusi vya korona. Kufikia tarehe 23 Machi, 2020, kesi 337,000 zimethibitishwa, Kufikia tarehe 5 Februari 2020, vifo 493 vilitokana na virusi hivyo tangu kifo cha kwanza kilichothibitishwa Januari 9, na watu 990 waliopona. Kifo cha kwanza nje ya Uchina kiliripotiwa tarehe 1 Februari nchini Ufilipino, kilikuwa ni kifo cha mwanamume wa Kichina mwenye umri wa miaka 44. Kumekuwa na majaribio ambayo yameonyesha kesi zaidi ya 6000 zilizothibitishwa nchini Uchina, ambazo baadhi zao ni za wafanyakazi wa huduma ya afya. Katikati ya Februari 2020 maswali mengi kuhusu virusi hivi vilibaki bila jibu, lakini Shirika la Afya Duniani lilitoa tathmini kuwa zaidi ya asilimia 80 za wagonjwa huonekana kuwa na ugonjwa mwepesi, wanapona kati ya asilimia za wagonjwa kuna maambukizi mazito yanayosababisha matatizo ya kupumua, hata nimonia, na asilimia 15 kudai walazwe hospitalini takriban asilimia 5 huwa na magonjwa hatari mnamo asilimia 2 hufa; hatari ya kifo inapatikana hasa kwa wazee, kuna mfano michache ya watoto. Baadaye imeonekana kwamba kiwango cha vifo si kubwa vile, labda kati ya % 0.5 hadi 1 lakini si rahisi kutaja kiwango kwa uhakika kwa sababu wengi walioambukizwa hawajulikani. utafiti wa ziada bado unahitajika kuna dalili kwamba virusi vya Covid-19 vinaweza kudumu hadi siku 8 kwenye uso wa kitu kilichoguswa na mgonjwa na bado kusababisha maambukizi Kufikia tarehe 11 Julai 2020, zaidi ya watu milioni 12.5 walithibitishwa kupatwa na COVID‑19 katika nchi na maeneo 188 duniani kote. Kati yao waliofariki ni zaidi ya 560,000 na waliopona ni zaidi ya milioni 6.89. Kufikia tarehe 15 Aprili 2022, WHO ilitangaza kuwa walitohibitishwa kuambukizwa ni 500.186.525, na kati yao 6.190.349 wamefariki, Marekani ikiwa nchi iliyoathiriwa zaidi (79.71 milioni walioambukizwa na 979.321 waliofariki, karibu 16% ya jumla ya dunia nzima), ikifuatwa na India (zaidi ya maambukizi milioni 43, na vifo 521.737) na Brazil (zaidi ya maambukizi milioni 30, na vifo 661.493).


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search