Climate Crisis Advisory Group (CCAG)ni kikundi cha kujitegemea cha wanasayansi ambao wanashauri juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi na bioanuwai, kinachoongozwa na Sir David King. Kikundi hichi kina dhaminiwa na kituo cha Centre for Climate Repair. Malengo yake ni kutoa ulimwengu kwa ujumla uchambuzi wa jitihada za kutatua ongezeko la joto duniani na matatizo ya bioanuwai. CCAG walitoa tamko na report yao ya kwanza nakusema kwamba dunia imeshapita mambo kadhaa kuashiria hatari, ikiwemo kuyeyuka kwa barafu, kupungua kwa mzunguko wa mawimbi ya Atlantiki na kufa kwa mgongo wa msitu wa Amazon, ambacho ni kiashirio cha uhitaji wa haraka.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search