10 results found for: “Snoop_Dogg._”.

Request time (Page generated in 0.295 seconds.)

Snoop Doggy

na pia muigazaji wa filamu. Alipata umaarufu kama Snoop Dogg, mwanzoni walikuwa wakimuita Snoop Dogg Doggy. Akiwa anawakilisha kikosi cha West Coast Hip...

Last Update: 2024-04-08T08:28:04Z Word Count : 546

View Rich Text Page View Plain Text Page

All Bout U

Dogg akiimba kiitikio cha wimbo, na mstari wa mwisho na tatu umegawiwa baina ya Yaki Kadafi na Hussein Fatal, wanachama wa Outlawz. Dru Down na Snoop...

Last Update: 2013-03-11T14:41:21Z Word Count : 100

View Rich Text Page View Plain Text Page

2 of Amerikaz Most Wanted

Snoop Dogg na Daz Dillinger kwa ajili ya albamu mbili za pamoja za 2Pac, All Eyez on Me. Wimbo umeimbwa na watu wawili ambao ni 2Pac na Snoop Dogg. "2...

Last Update: 2023-11-13T07:16:27Z Word Count : 103

View Rich Text Page View Plain Text Page

Nate Dogg

kushirikiana na Dr. Dre, Warren G, Tupac na Snoop Dogg katika matoleo kadha wa kadha bab-kubwa ya wasanii hao. Nate Dogg ametoa albamu tatu za kujitegemea, G-Funk...

Last Update: 2022-10-16T02:30:56Z Word Count : 368

View Rich Text Page View Plain Text Page

Wanted Dead or Alive

"Wanted Dead or Alive" ni wimbo wa ushirikiano baina ya Tupac Shakur, Snoop Dogg, na Dazdillinger Arnaud. Wimbo ulitolewa kama single kutoka katika Gridlock'd...

Last Update: 2013-03-11T14:44:59Z Word Count : 68

View Rich Text Page View Plain Text Page

Say Somethin'

"Say Somethin'" ni wimbo ulioandikwa na Mariah Carey akishirikiana na Snoop Dogg, Chad Hugo, wakishirikiana na Pharrell Williams kwa ajili ya albamu ya...

Last Update: 2022-01-17T11:44:50Z Word Count : 564

View Rich Text Page View Plain Text Page

Still D.R.E.

iliopata maplatinam kedekede ya 2001. Wimbo huu umemshirikisha msanii Snoop Dogg mwanzoni, kwenye kiitikio na mwishoni pia. Wimbo huu ulikuwa maarufu sana...

Last Update: 2022-02-02T12:52:25Z Word Count : 191

View Rich Text Page View Plain Text Page

213 (kundi)

Long Beach, California likiuanganishwa na msanii kama vile Snoop Dogg, Warren G na Nate Dogg. Mwaka wa 2004, waliungana tena na kutoa albamu ya The Hard...

Last Update: 2024-07-04T16:16:30Z Word Count : 132

View Rich Text Page View Plain Text Page

Gridlock'd (kibwagizo)

"Never Had A Friend Like Me" - 2Pac "Why" - Nate Dogg "Out the Moon" (Boom, Boom, Boom) - Snoop Doggy Dogg/Soopafly/Techniec/Bad Azz/Tray Dee/2Pac "I Can't...

Last Update: 2022-07-06T13:05:30Z Word Count : 235

View Rich Text Page View Plain Text Page

U and Dat

Remix yake ilitolewa mwanzoni mwa mwezi wa Agosti na Juelz Santana, Snoop Dogg, na Lil Flip. Kibao hiki hupewa kete ya kwamba ndicho kilichompelekea...

Last Update: 2013-03-11T14:25:35Z Word Count : 76

View Rich Text Page View Plain Text Page

Main result

Snoop Doggy

Cordozar Calvin Broadus, Jr (amezaliwa, 20 Oktoba 1971) ni rapa wa kimarekani, mtunzi na mtayarishaji wa muziki, mjasiriamali na pia muigazaji wa filamu. Alipata umaarufu kama Snoop Dogg, mwanzoni walikuwa wakimuita Snoop Dogg Doggy. Akiwa anawakilisha kikosi cha West Coast Hip Hop, pamoja na mshirika wake wa karibu Dr. Dre ambaye ndiye aliyesababisha Snoop kuwa hapo alipofikia. Snoop kuna misemo yake ambayo imezoleka sana midomoni mwa watu vile akisema 'fo' Shizzle, manizzle, akimanisha, kweli ndugu yangu, useme huo ulibuniwa na mwanamuziki maarufu wa huko huko nchini Marekani Frank Smith & the Band, mnamo miaka ya 80 hivi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search