10 results found for: “Yale_School_of_Management”.

Request time (Page generated in 0.2516 seconds.)

Tasnia ya muziki

Marcq B., Colomé D., 2002, pp. 53–54. d'Angelo, Mario: Perspectives of the Management of Musical Institutions in Europe, OMF, Musical Activities and Institutions...

Last Update: 2022-10-16T09:46:13Z Word Count : 722

View Rich Text Page View Plain Text Page

Kombe la Dunia la FIFA 2022

Oliver's Yard, 55 City Road, London EC1Y 1SP United Kingdom: Yale School of Management. ISBN 978-1-5297-9640-7. {{cite book}}: no-break space character...

Last Update: 2023-06-16T06:31:02Z Word Count : 1520

View Rich Text Page View Plain Text Page

Mpango wa Biashara

0471578266 Harvard Business School Press-Pocket Mentor, "Creating a Business Plan" Bent Flyvbjerg, Mette K. Holm Skamris, na Søren Yale Buhl (2002), "Underestimating...

Last Update: 2024-03-23T08:09:52Z Word Count : 2108

View Rich Text Page View Plain Text Page

Kujiua

kwa makusudi ama kwa kufanya kitu kinachoharibu uhai wake au kwa kuacha yale yanayohitajika kuuendeleza kama kula au kunywa. Kuna sababu mbalimbali kwa...

Last Update: 2024-05-29T11:14:19Z Word Count : 11030

View Rich Text Page View Plain Text Page

Ulevi

Matumizi ya wastani yanaelezwa na Mwongozo wa Lishe kwa Wamarekani kuwa yale yasiyozidi chupa mbili za vileo kwa siku kwa ajili ya wanaume na yasiyozidi...

Last Update: 2024-01-19T20:56:59Z Word Count : 9771

View Rich Text Page View Plain Text Page

Tatizo la Kutotulia

(help) Dobie, C (2012). "Diagnosis and management of attention deficit hyperactivity disorder in primary care for school-age children and adolescents". Institute...

Last Update: 2023-08-02T17:09:26Z Word Count : 11266

View Rich Text Page View Plain Text Page

Peace Corps

The Avalon Project (1997). "Inaugural Address of John F. Kennedy". The Avalon Project at Yale Law School. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo...

Last Update: 2024-07-08T17:03:51Z Word Count : 4013

View Rich Text Page View Plain Text Page

Tawahudi

17367287. Myers SM, Johnson CP, Council on Children with Disabilities. Management of children with autism spectrum disorders. Pediatrics. 2007 [archived...

Last Update: 2024-05-29T12:42:05Z Word Count : 13851

View Rich Text Page View Plain Text Page

Madhara ya mabadiliko ya hali ya hewa

(help); Explicit use of et al. in: |author= (help)CS1 maint: multiple names: editors list (link) Insurance Journal: Sound Risk Management, Strong Investment...

Last Update: 2024-05-14T00:28:41Z Word Count : 18588

View Rich Text Page View Plain Text Page

Tiba asilia ya homoni

Moskowitz, D (2006). "A comprehensive review of the safety and efficacy of bioidentical hormones for the management of menopause and related health risks" (PDF)...

Last Update: 2024-05-29T12:39:01Z Word Count : 7973

View Rich Text Page View Plain Text Page

Main result

Tasnia ya muziki

Tasnia ya muziki ni neno/maneno linalotaja mjumuisho wa makampuni na watu binafsi ambao wanajipatia fedha kwa kutunga nyimbo mpya na mengineyo, kuuza maonesho mubashara (live shows), rekodi za sauti na video, tunzi mbalimbali za muziki, na jumuia na mashirika mengine ambayo yanawakilisha watungaji/waumbaji wa kazi za sanaa. Miongoni mwa watu binafsi na mashirika mengine ambayo yanajishughulisha na tasnia hii ni pamoja na: watunzi wa nyimbo na watunzi ambao wanatunga nyimbo mpya na ala za muziki; waimbaji, wanamuziki, waelekezaji na viongozi wa bendi wanaotumbuiza katika muziki; makampuni na wataalamu ambao wanatunga na kuuza rekodi za muziki na shiti za muziki (yaani, wachapishaji wa shiti za muziki, watayarishaji wa rekodi, studio za kurekodi, wahandisi, lebo za rekodi, maduka ya rejareja na yale yanayouza mtandaoni, mashirika ya haki za utumbuizaji); na hizo ambazo zinasaidia kupanga na kuwakilisha utumbuizaji wa muziki wa laivu na uhandisi wa sauti, mawakala wa watu wenye vipaji, mapromota, kumbi za muziki). Tasnia vilevile inahusisha wataalamu wanaowasaidia waimbaji na wanamuziki katika kazi zao za muziki - hawa wanaitwa mameneja vipaji, mameneja wa wasanii na habari, mameneja biasha, wanasheria wa masuala ya burudani na hao wanaorusha muziki wa sauti au video kama vile redio za satilaiti, redio za intaneti, matangazo ya redio na televisheni); vilevile waandishi wa habari za muziki na watahakiki wa muziki; Ma-DJ; walimu na wakufunzi wa miziki mbalimbali; waandaji wa midundo mitupu ya muziki yaani musical instrument; na wengine wengi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search