Amerika ya Kaskazini

Mahali pa Amerika ya Kaskazini duniani.
Amerika ya Kaskazini inavyoonekana kutoka angani. http://www.earth-puzzle.com/NAmerica.html Archived 20 Februari 2006 at the Wayback Machine.

Amerika ya Kaskazini ni bara upande wa Kaskazini mwa Ikweta. Inapakana na Bahari ya Pasifiki upande wa Magharibi, na Bahari ya Atlantiki upande wa Mashariki.

Ina nchi mbili hadi tatu kutegemeana na hesabu:

Kisiwa cha Greenland ni sehemu ya Amerika Kaskazini kijiografia maana kipo juu ya bamba la gandunia lileile, lakini si nchi huru, bali kipo chini ya Denmark.

Nchi za Amerika ya Kati zinahesabiwa kuwa sehemu za bara hilo katika hesabu ya kawaida ya mabara saba. Kijiolojia ziko juu ya bamba la gandunia tofauti na Amerika Kaskazini: ni bamba la Karibi pia kihistoria na kiutamaduni ziko tofauti na nchi mbili kubwa katika kaskazini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search