Anthropolojia

Lewis Henry Morgan
Bronisław Malinowski
Margaret Mead
Edward Sapir
Claude Lévi-Strauss

Anthropolojia ni fani ya elimu inayochunguza pande zote binadamu kuanzia wale wa kale[1][2][3].

Matawi yake mbalimbali yanachunguza maisha ya jamii, utamaduni pamoja na taratibu na tunu, athari ya lugha, mabadiliko ya kimwili n.k.[1][2][3]

Kwa vyovyote, anthropolojia inahitaji ushirikiano wa sayansi mbalimbali, ikiwemo teolojia.

Akiolojia inaweza kutazamwa kama sehemu ya anthropolojia (k.mf. Marekani[4] ) au ya historia, lakini pia kama fani ya pekee (k.mf. Ulaya).

  1. 1.0 1.1 "anthropology". Oxford Dictionaries. Oxford University Press. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-07-09. Iliwekwa mnamo 10 Agosti 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 "anthropology". Encyclopedia Britannica. Iliwekwa mnamo 23 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. 3.0 3.1 "What is Anthropology?". American Anthropological Association. Iliwekwa mnamo 10 Agosti 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Haviland, William A.; Prins, Harald E. L.; McBride, Bunny; Walrath, Dana (2010), Cultural Anthropology: The Human Challenge (toleo la 13th), Cengage Learning, ISBN 0-495-81082-7

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search