Antili Ndogo

Antili Ndogo ni sehemu ya kusini ya pinde la visiwa vya Karibi

Antili Ndogo ni kundi la visiwa vidogo katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Amerika ya Kati. Ni sehemu ya kusini ya Visiwa vya Karibi.

Antili ndogo ina umbo la upinde kati ya pwani ya Venezuela na kisiwa kikubwa cha Puerto Rico.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search