Bahari kuu

Bahari Kuu (ing. w:ocean) ni jina linalotumika kutaja jumla ya maeneo makubwa ya maji ya chumvi duniani yanayopakana na kufuatana kama gimba moja. Kwa maana hii bahari kuu inafunika zaidi ya theluthi mbili za uso wa dunia.

Nusutufe ya kusini ya dunia ambako bahari kuu inafunika karibu asilimia 90 za uso wake

Bahari Kuu imegawiwa na ardhi ya mabara kwenye nusutufe ya kaskazini ya dunia lakini sehemu zake zinaungana kwenye nusutufe ya kusini.

Njia mbalimbali za kutazama Bahari Kuu ya Dunia: kama bahari 1, 3 au 5

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search