Bangalore

Sehemu ya Mji wa Bangalore



Jiji la Bangalore
Jiji la Bangalore is located in Uhindi
Jiji la Bangalore
Jiji la Bangalore

Mahali pa mji wa Bangalore katika Uhindi

Majiranukta: 12°58′0″N 77°34′0″E / 12.96667°N 77.56667°E / 12.96667; 77.56667
Nchi Uhindi
Jimbo Karnataka
Wilaya Bangalore Mjini (Bangalore Urban)
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 5,840,155
Tovuti:  www.bbmp.gov.in

Bangalore ni jina la mji mkuu wa jimbo la Karnataka katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 6 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 920 kutoka juu ya usawa wa bahari.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search