Jamhuri ya Botswana | |
---|---|
Lefatshe la Botswana (Kitswana) | |
Kaulimbiu ya taifa: Pula "Mvua" | |
Wimbo wa taifa: Fatshe leno la rona "Barikiwe ardhi hiyo takatifu" | |
![]() Mahali pa Botswana | |
![]() Ramani ya Botswana |
Botswana (yaani: Utswana) ni nchi huru iliyoko Kusini mwa Afrika. Jina rasmi ni Jamhuri ya Botswana.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search