Bulgaria

Република България
Republika Balgaria

Jamhuri ya Bulgaria
Bendera ya Bulgaria Nembo ya Bulgaria
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Съединението прави силата
("Umoja huleta nguvu)
Wimbo wa taifa: Mila Rodino
("Taifa la kupendwa")
Lokeshen ya Bulgaria
Mji mkuu  Sofia
42°41′ N 23°19′ E
Mji mkubwa nchini Sofia
Lugha rasmi Kibulgaria
Serikali Demokrasia
Rumen Radev (Румен Радев)
Kiril Petkov (Кирил Петков)
Uhuru
ilianzishwa
Bulgaria kuwa nchi ya kikristo
madaraka ya kujitawala
Ilitangazwa


681
865
3 Machi 1878
5 Oktoba 1908
(22 Septemba
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
110,994 km² (ya 106)
2.16%
Idadi ya watu
 - 2021 kadirio
 - 2014 sensa
 - Msongamano wa watu
 
7,000,039 (ya 106)
6,875,040[1]
63/km² (ya 118)
Fedha Lev (BGN)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
EET (UTC+2)
EEST (UTC+3)
Intaneti TLD .bg
Kodi ya simu +359

-



Bulgaria (kwa Kibulgaria: България; jina rasmi ni Jamhuri ya Bulgaria) ni nchi ya Ulaya kusini - magharibi kwenye rasi ya Balkani.

Imepakana na Bahari Nyeusi, Serbia, Makedonia Kaskazini na Ugiriki.

Ni mwanachama wa Umoja wa Ulaya.

  1. "Population and Demographic Processes in 2019 | National statistical institute". www.nsi.bg. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-18. Iliwekwa mnamo 14 Desemba 2021. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search