Burkina Faso

Burkina Faso
Burkĩna Faso (Kimoore)
𞤄𞤵𞤪𞤳𞤭𞤲𞤢 𞤊𞤢𞤧𞤮 (Kifulani)
ߓߎߙߞߌߣߊ ߝߊߛߏ (Kijula)
Kaulimbiu ya taifa:
Unité–Progrès–Justice (Kifaransa)
"Umoja–Maendeleo–Haki"
Wimbo wa taifa: Ditanyè (Kifaransa)
"Wimbo wa ushindi"
Mahali pa Burkina Faso
Mahali pa Burkina Faso
Ramani ya Burkina Faso
Ramani ya Burkina Faso
Mji mkuu
na mkubwa nchini
Wagadugu
12°22′ N 1°32′ W
Lugha rasmiKimoore
Kibisa
Kijula
Kifulani
Idadi ya watu
 • Kadirio la 202322 489 126[1]
Ramani ambayo inaonyesha mikono ya mto Volta nchini.

Burkina Faso ni nchi ya Afrika ya Magharibi isiyo na pwani kwenye bahari yoyote.

Imepakana na nchi zifuatazo: Mali upande wa kaskazini, Nijeri upande wa mashariki, Benin, Togo, Ghana na Kodivaa upande wa kusini.

  1. "Burkina Faso". The World Factbook (kwa Kiingereza) (toleo la 2024). Shirika la Ujasusi la Marekani. Iliwekwa mnamo 23 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search