Derbe (kwa Kigiriki: Δέρβη, Derbe, pia Δέρβεια, Derbeia) ulikuwa mji wa Wagiriki wa Kale katika rasi ya Anatolia,[1] kusini-magharibi mwa Uturuki wa leo[2].
Kwa sasa ni maghofu tu yanayopatikana km 15 kaskazini-mashariki kwa Karaman[3][4].
Kuanzia mwaka 46 Mtume Paulo alifika mara kadhaa kuinjilisha huko (Mdo 14:6, 14:20, 16:1, 20:4).
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search