Dola Huru

Dola Huru
Free State
Vrystaat
Foreistata
Mahali pa Free State
Mji Mkuu Bloemfontein
’‘‘Mji Mkubwa’’’ Bloemfontein
Waziri Mkuu Beatrice Marshoff (ANC)
Eneo
- Jumla
Nafasi ya 3 kati ya majimbo ya Afrika Kusini
129,480 km²
Wakazi
 - Jumla (2001)
 - Msongamano wa watu / km²
Nafasi ya 8 kati ya majimbo ya Afrika Kusini
2,706,776
21/km²
Lugha Sotho (62%)
Kiafrikaans (14%)
Kixhosa (9.5%)
Wakazi kimbari Waafrika Weusi(88.0%)
Wazungu (8.8%)
Chotara(3.1%)
Wenye asili ya Asia(0.1%)
edit


Dola Huru (Kiing.: Free State; Kiafrikaans: Vrystaat) ni moja kati ya majimbo tisa ya Afrika Kusini. Mji mkuu ni Bloemfontein ambayo ni pia makao ya mahakama kuu ya taifa. Jimbo lilianzishwa 1994 kwa kuunganisha jimbo la awali la Dola Huru la Oranje na maeneo ya bantustan kadhaa hasa QwaQwa. Jina la zamani lilifupishwa 1995 kuwa "Dola huru" (Kiing.:Free State, Kiafrikaans: Vrystaat).


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search