Emmanuel Macron

Emmanuel Macron
Emmanuel Macron in 2017

Rais wa Ufaransa (2017)
hadi 2016 Waziri wa Uchumi
Muda wa Utawala
26 August 2014 – 30 August 2016
Waziri Mkuu Manuel Valls
mtangulizi Arnaud Montebourg
aliyemfuata Michel Sapin

tarehe ya kuzaliwa 21 Desemba 1977 (1977-12-21)
Amiens, Ufaransa
chama En Marche! (2016–present)
chamakingine Chama cha Kisoshalisti cha Ufaransa (2006–2009)
ndoa Brigitte Trogneux (m. 2007–present) «start: (2007)»"Marriage: Brigitte Trogneux to Emmanuel Macron" Location: (linkback://sw.wikipedia.orgview_html.php?sq=Pentagon&lang=sw&q=Emmanuel_Macron)
mhitimu wa Paris X Nanterre
Sciences Po
École nationale d'administration

Emmanuel Jean-Michel Frédéric Macron (*21 Disemba 1977) ni mwanasiasa nchini Ufaransa aliyezaliwa mjini Amiens. Mwaka 2017 alichaguliwa na wananchi kuwa rais wa taifa. Akiwa na umri wa miaka 39, Macron akawa rais mdogo zaidi katika historia ya Ufaransa


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search