Estonia

Eesti Vabariik
Jamhuri ya Estonia
Bendera ya Estonia Nembo ya Estonia
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: --
Wimbo wa taifa: Mu isamaa, mu õnn ja rõõm
Lokeshen ya Estonia
Mji mkuu Tallinn
59°26′ N 24°45′ E
Mji mkubwa nchini Tallinn
Lugha rasmi Kiestonia
Serikali demokrasia
Kersti Kaljulaid
Kaja Kallas
Uhuru
Ilitangazwa
ilikubaliwa
Ilitwaliwa na Urusi
Ilitangazwa tena
ilikamilika

24 Februari 1918
2 Februari 1920
16 Juni 1940
20 Agosti 1991
6 Septemba 1991
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
45,100 km² (ya 13)
4.56%
Idadi ya watu
 - 2014 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
1,315,819 (ya 154)
29/km² (ya 173)
Fedha Euro (EUR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
EET (UTC+2)
EEST (UTC+3)
Intaneti TLD .ee1
Kodi ya simu +372

-



Ramani ya Estonia

Estonia (kwa Kiestonia: Eesti au Eesti Vabariik) ni nchi ya Kibalti katika Ulaya ya Kaskazini. Imepakana na Latvia na Urusi.

Finland iko ng'ambo ya Kidaka cha Ufini cha Bahari ya Baltiki na watu wake wana asili moja na Waestonia.

Mji mkuu ni Tallinn unaojulikana pia kwa jina la Reval.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search