| |||||
Kaulimbiu ya taifa: "Rerevaka na Kalou ka Doka na Tui" "Umwogope Mungu na umheshimu malkia" | |||||
Wimbo wa taifa: God Bless Fiji | |||||
![]() | |||||
Mji mkuu | Suva | ||||
Mji mkubwa nchini | Suva | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza, Kifiji na Kihindustani (Hindi/Urdu) | ||||
Serikali | Jamhuri chini ya kamati ya kijeshi Ratu Wiliame Katonivere Sitiveni Rabuka Ratu Ovini Bokini | ||||
Uhuru Tarehe |
10 Oktoba 1970 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
18,274 km² (ya 151) -- | ||||
Idadi ya watu - Julai 2018 kadirio - Msongamano wa watu |
926,276 (ya 161) 46/km² (ya 148) | ||||
Fedha | Fijian dollar (FJD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+12) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .fj | ||||
Kodi ya simu | +679
- |
Fiji (kwa Kifiji: Matanitu ko Viti; kwa Kihindustani: फ़िजी, فِجی) ni nchi ya visiwani ndogo ya Melanesia katika Pasifiki yenye visiwa vikubwa 322 na wakazi 926,276.
Kati ya visiwa vingi kuna 106 vyenye wakazi. Visiwa vikuu ni Vanua Levu na Viti Levu wanapokaa asilimia 87 za wakazi wote, na ndipo mji mkuu, Suva ulipo.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search