Foligno

Kanisa kuu la Mt. Felichano.

Foligno ni mji wa wilaya ya Perugia, mkoa wa Umbria, nchini Italia.

Una wakazi 57,159 katika eneo la kilometa mraba 263.77.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search