Gambia

Jamhuri ya Gambia
Republic of The Gambia (Kiingereza)
Kaulimbiu ya taifa:
Progress, Peace, and Prosperity (Kiingereza)
"Maendeleo, Amani, na Usitawi"
Wimbo wa taifa:
For The Gambia Our Homeland (Kiingereza)
"Kwa Gambia, Nchi Yetu"
Mahali pa Gambia
Mahali pa Gambia
Ramani ya Gambia
Ramani ya Gambia
Mji mkuuBanjul
13°28′ N 16°36′ W
Mji mkubwa nchiniSerekunda
13°26′ N 16°41′ W
Lugha rasmiKiingereza
Makabila (asilimia)[1]34.4 Wamandinka
24.1 Wafulani
14.8 Wawolof
10.5 Wajola
8.2 Wasoninke
3.1 Waserer
1.9 Wamanjago
1.3 Wabambara
0.5 Waaku
1.5 wengine
Dini (asilimia)[2]94.4 Waislamu
3.5 Wakristo
0.1 wengine
Eneo
 • Eneo la jumlakm2 11 300[3]
Idadi ya watu
 • Kadirio la 20232 468 569[3]


Gambia, kirasmi Jamhuri ya Gambia, ni nchi ndogo kabisa ya Afrika bara. Eneo lake lote linazungukwa na Senegal kwa kufuata mwendo wa mto Gambia hadi Bahari ya Atlantiki.

Kimsingi nchi yote ni maeneo ya kandokando ya mto huo; urefu ni takriban km 500, upana kati ya 10 na 50.

  1. National Population Commission Secretariat (30 Aprili 2005). "2013 Population and Housing Census: Spatial Distribution" (PDF). Gambia Bureau of Statistics. The Republic of The Gambia. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 3 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 29 Desemba 2017. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  2. "The World Factbook: Gambia, The". CIA (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 7 Desemba 2023.
  3. 3.0 3.1 "Gambia". The World Factbook (kwa Kiingereza) (toleo la 2024). Shirika la Ujasusi la Marekani. Iliwekwa mnamo 23 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search