Guatemala

República de Guatemala
Jamhuri ya Guatemala
Bendera ya Guatemala Nembo ya Guatemala
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Kihispania: El País de la Eterna Primavera
(maana yake: "Nchi ya Kivuli cha Milele")
Wimbo wa taifa: Himno Nacional de Guatemala
Lokeshen ya Guatemala
Mji mkuu Guatemala City
14°38′ N 90°33′ W
Mji mkubwa nchini Guatemala City
Lugha rasmi Kihispania (rasmi)
(lugha za asili 23 zimetambuliwa rasmi lakini mambo yote huendeshwa kwa Kihispania)
Serikali Jamhuri ya kirais
Bernardo Arévalo
Uhuru
Tarehe
Kutoka Hispania
15 Septemba 1821
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
108,890 km² (106th)
0.4
Idadi ya watu
 - Julai 2023 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
18,917, 714[1] (69th)
173,7/km² ()
Fedha Quetzal (GTQ)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-6)
(UTC)
Intaneti TLD .gt
Kodi ya simu +502

-



Guatemala (pia Gwatemala; kutoka lugha ya Kinahuatl Cuauhtēmallān, "kwenye miti mingi") ni nchi ya Amerika ya Kati. Inapakana na Bahari ya Pasifiki upande wa Magharibi, na Atlantiki upande wa Mashariki, tena na nchi za Mexiko, Belize, Honduras na El Salvador.

Kanisa la San Andrés Xecul.

Eneo lake ni km2 108,889 ambamo wanaishi watu 17,980,803 (2023).

  1. Kigezo:Cita web

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search