Hadithi

Jalada la kitabu cha hadithi cha Kiingereza

Hadithi (kutoka neno la Kiarabu) ni sehemu ya fasihi. Hasa kuna aina kuu mbili za hadithi:

  • hadithi za matukio na wahusika wa kubuni,
  • hadithi za matukio ya kubuni na wahusika wa kweli au kinyume chake.

Hadithi ni tungo za fasihi simulizi zitumiazo lugha ya nadharia.

Kwa maana ya pekee neno hili mara nyingi linataja hadithi za Mtume Muhammad ambazo zinahesabiwa kati ya misingi ya imani ya Uislamu.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search