Hungaria

Magyarország
Hungaria
Bendera ya Hungaria Nembo ya Hungaria
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: --
Wimbo wa taifa: Himnusz ("Isten, áldd meg a magyart")
"Wimbo" ("Mungu wabariki Wahungaria wote")
Lokeshen ya Hungaria
Mji mkuu Budapest
47°26′ N 19°15′ E
Mji mkubwa nchini Budapest
Lugha rasmi Kihungaria (Magyar)
Serikali Serikali ya kibunge Jamhuri
Tamás Sulyok
Viktor Orbán
Uhuru
Principality of Hungary
Ufalme wa Hungaria
Kuachana kwa
Milki ya Austria-Hungaria
Jamhuri ya Hungaria

896
Desemba 1000

1918
1989
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
93,030 km² (ya 109)
0.74%
Idadi ya watu
 - 2024 kadirio
 - 2023 sensa
 - Msongamano wa watu
 
9,580,000 (ya 95)
9,599,744
103/km² (ya 78)
Fedha Forint ya Hungaria (HUF)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET (UTC+1)
CEST (UTC+2)
Intaneti TLD .hu 1
Kodi ya simu +36
1 pia .eu kama nchi ya Umoja wa Ulaya


Hungaria (kwa Kihungaria Magyarország) ni nchi ya Ulaya ya Kati yenye wakazi milioni 10 wanaozidi kupungua.

Imepakana na Austria, Slovakia, Ukraine, Romania, Serbia, Kroatia na Slovenia.

Mji mkuu ni Budapest. Miji mingine muhimu ni Miskolc, Debrecen, Szeged, Pécs, Győr na Szolnok.

Kihungaria ndiyo lugha rasmi na ya kawaida kwa wananchi.

Wakazi walio wengi (52.9%) ni Wakristo. hasa Wakatoliki (37.4%) na Wakalvini (11.1%).


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search