Jamhuri ya Watu wa Zanzibar

Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
Bendera ya Zanzibar
Bendera ya Zanzibar

Bendera ya Zanzibar
Lugha ya Taifa Kiswahili
Mji Mkuu Zanzibar
Rais Hussein Ali Mwinyi
Eneo
km² 2.654
Wakazi
1,303,569
Dini Waislamu takriban 96-99%, Wakristo, Wahindu
Uhuru Kutoka Uingereza
  19.12.1963, Mapinduzi 12.01.1964
Fedha TSh
Visiwa vya Zanzibar (Unguja na Pemba).
Visiwa vya Unguja na Pemba (ramani haionyeshi umbali halisi kati ya visiwa).
Bandari ya Zanzibar.

Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ingawa inajitawala katika mambo ya ndani.

Hadi mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 nchi hiyo ilijulikana kama Usultani wa Zanzibar.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search