Jeshi la anga

Hii ni ndege ya vita inayojulikana kama Jeshi la anga

Jeshi la anga ni jeshi linalotumia ndege n.k. Jeshi la anga hutumia ndege hizo kwa ajili ya kusafirisha wanajeshi na mabomu kama sehemu wanayokwenda kushambulia ni mbali sana na walipo.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search