Kaisari Nero

Sanamu ya marumaru ya Nero katika Musei Capitolini, Roma, Italia.

Kaisari Nero (jina kamili kwa Kilatini: Nero Claudius Caesar Augustus Germanicus[1]: 15 Desemba 37 - 9 Juni 68) alijiua baada ya kutawala Dola la Roma kuanzia tarehe 13 Oktoba 54.

Alimfuata Kaisari Klaudio akafuatwa na Kaisari Galba.

  1. In Classical Latin, Nero's name would be inscribed as NERO CLAVDIVS CAESAR AVGVSTVS GERMANICVS.

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search