Kaliningrad

Kaliningrad

Kaliningrad (Kirusi: Калининград) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 430.003. Hapa iko makao makuu ya mkoa wa Kaliningrad Oblast.

Hadi 1945 Kaliningrad ilikuwa mji wa Kijerumani uliojulikana kama Königsberg. 1945 kwenye mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia wakazi Wajerumani walikimbia au walifukuzwa na wakazi wapya walipelekwa hapa kutoka mikoa mengine ya Urusi.

2010 mji ulikuwa na wakazi 431,902.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search