| |||||
Lugha rasmi | Kiswahili, Kiingereza | ||||
Mji Mkuu | Nairobi | ||||
Mji Mkubwa | Nairobi | ||||
Miji mingine | Mombasa, Kisumu na Nakuru | ||||
Serikali | Jamhuri | ||||
Rais | William Ruto | ||||
Eneo | km² 580,367 | ||||
Idadi ya wakazi | 47,564,296 (2019) | ||||
Wakazi kwa km² | 82 | ||||
Jumla la pato la taifa kinaganaga | Bilioni $114.68[1] | ||||
Jumla la pato la taifa kwa kila mtu | $2,252[1] | ||||
Pesa | Shilingi ya Kenya | ||||
Kaulimbiu | "Harambee" | ||||
Wimbo wa Taifa | Ee Mungu Nguvu Yetu | ||||
Saa za Eneo | UTC +3 (Wakati wa Afrika Mashariki) | ||||
Mtandao | .ke | ||||
Kodi ya Simu | +254 |
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Idadi ya watu imeongezeka sana katika miaka ya karibuni na kufikia milioni 49.
Kenya ina mbuga mbalimbali wanamoishi aina elfu kadhaa za wanyama pori.
Jina la nchi limetokana na mlima Kenya[2], ulio wa pili kwa urefu barani Afrika.[3][4]
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search