Kihlai

Kihlai ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wahlai kisiwani kwa Hainan. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kihlai imehesabiwa kuwa watu 667,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihlai iko katika kundi lake lenyewe la Kihlai.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search