Kimaranao

Kimaranao ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamaranao. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kimaranao imehesabiwa kuwa watu 776,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaranao iko katika kundi la Kifilipino.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search