Kimeru (Kenya)

Kimeru (au Kimîîru) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wameru. Isichanganywe na lugha ya Kimeru nchini Tanzania. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kimeru imehesabiwa kuwa watu 1,658,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimeru iko katika kundi la E50.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search