| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Te Mauri, Te Raoi ao Te Tabomoa (Afya, amani na usitawi) | |||||
Wimbo wa taifa: Teirake Kaini Kiribati | |||||
Mji mkuu | Teinainano (Tarawa) | ||||
Mji mkubwa nchini | Betio (Tarawa) | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza , Kikiribati | ||||
Serikali | Jamhuri Taneti Maamau | ||||
Uhuru kutoka Uingereza |
12 Julai 1979 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
726 km² (ya 186) 0 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2010 sensa - Msongamano wa watu |
103,500 (ya 197) 103,500 135/km² (ya 73) | ||||
Fedha | Dollar ya Australia (AUD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+12, +13, +14) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .ki | ||||
Kodi ya simu | +686
- | ||||
1 Supplemented by a nearly equal amount from external sources. |
Kiribati ni nchi ya visiwani ya Polynesia na Mikronesia katika Pasifiki karibu na ikweta yenye wakazi 100,000 hivi.
Eneo lake ni visiwa 33 vilivyosambaa kwa 5,200,000 km². Visiwa 32 vimepangwa katika vikundi vinne:
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search