Kitahiti

Kitahiti ni lugha ya Kiaustronesia inayozungumzwa na Watahiti nchini Polinesia ya Kifaransa amapo ni lugha ya taifa. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitahiti imehesabiwa kuwa watu 63,000 nchini Polinesia ya Kifaransa na wasemaji 5260 katika nchi nyingine. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitahiti iko katika kundi la Kioseaniki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search