Kitsonga

Kitsonga

Kitsonga (pia Kishangaan) ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji, Afrika Kusini na Zimbabwe inayozungumzwa na Watsonga. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitsonga katika nchi zote imehesabiwa kuwa watu 3,669,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitsonga iko katika kundi la S50.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search