Kivenda

Kivenda ni lugha ya Kibantu hasa nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wavenda. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kivenda nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 980,000. Pia kuna wasemaji 84,000 nchini Zimbabwe. Kufuatana na uainishaji wa [[lug za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kivenda iko katika kundi la S20.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search