Kuala Lumpur


Jiji la Kuala Lumpur
Nchi Malaysia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1 453 978
Tovuti:  www.kualalumpur.gov.my
Kuala Lumpur

Kuala Lumpur (Jawi:كوالا لمڤور) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Malaysia. Eneo lake ni km² 243.65 na idadi ya wakazi 1,453,978 (mwaka 2005).


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search