Nyota za kundinyota Jabari (Orion) anganiBaada kuunganisha nyota za Jabari (Orion) kwa kuwaza mistari kunajitokeza picha ya mvindajiJabari (Orion) kama mvindaji alivyowazwa na Johann Bayer wakati wa karne ya 17 - alibadilisha kushoto na kulia maana alichora "kwa mtazamo kutoka juu"Ramani ya anga inayoonyesha kundinyota kwa picha (uchoraji wa karne ya 17, Uholanzi)