Lafudhi

Lafudhi ni namna ya pekee ya kutamka lugha kutokana na lugha ya mwanzo/awali ya mzungumzaji au eneo alipojifunza lugha.

Mara nyingi watu wanaweza kusikia kutokana na matamshi kama msemaji ni mgeni kutoka nchi fulani au kama anatokea mji fulani kama ni mwenyeji.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search