Liturujia ya Armenia

Altare ya Kiarmenia ikiwa na ukuta wa picha takatifu na mapazia, Echmiatsin, Armenia.

Liturujia ya Armenia ni liturujia maalumu ya Ukristo ambayo leo inatumiwa na Kanisa la Mitume la Armenia na vilevile na Kanisa Katoliki la Armenia kokote duniani.

Liturujia hiyo inafuata mapokeo ya Gregori Mletamwanga, mwanzilishi na msimamizi wa Kanisa huko Armenia.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search