Lugha za Kitai-Kadai

Lugha za Kitai-Kadai ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika Asia ya Kusini-Mashariki, hasa nchini Uthai na Uchina. Idadi ya lugha katika familia hiyo ni kati ya 90 na 100.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search