Maandishi

Sanamu ya mwandishi (Misri ya Kale).
Mitindo ya maandishi duniani
buluu: alfabeti ya Kilatini; kibichi: alfabeti ya Kiarabu; nyekundu: Kikirili; njano: mwandiko wa Kichina; kichungwa: miandiko ya Kihindi.

Maandishi (pia: mwandiko) ni tendo la kushika sauti za lugha kwa njia ya alama zinazoandikwa.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search